Exodus 32:11

11 aLakini Musa akamsihi Bwana Mwenyezi Mungu wake, akasema, “Ee Bwana, kwa nini hasira yako iwake dhidi ya watu wako, wale uliowatoa Misri kwa uweza mkuu na mkono wenye nguvu?
Copyright information for SwhKC